Tukio zima la Ajali mbaya la basi la Prince Muro iliyo tokea jana Usiku maeneo ya Senjele likielekea Tunduma. Mwendo kasi ndio chanzo cha ajali hiyo mmoja Afariki 14 majeruhi
Basi la Price Muro Baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia jana likielekea Tunduma kutokea Dar es salaam.
Likiwa linaonekana baada ya kupinduka
Hivi ndivyo zinavyo onekana Damu na viti kuharibika vibaya baada ya ajali hiyo iliyo tokea jana usiku
Baadhi ya mabaki ya vitu baada ya ajali hiyo jana usiku
Hili
Ndilo Gari la mizigo ambalo basi la Price muro lilitaka kulipita, na
baadae kushindwa na kupinduka baada ya kukutana na Gari lengine mbele
yake
Shimo hili limechimbika wakati wa ajali hiyo ilipo tokea jana usiku
Hapa ndipo Basi la Prince Muro lilipo taka kuingia na kulikwepa gari hili na kupindukia upande wa pili
Muonekano wa gari hili la mizigo ambalo limeharibikia bara barani
Mmoja
wa majeruhi ambae alikuwa anatokea Dar es salaam kwenda kuwasalimu
ndugu zake Ileje aliye fahamika kwa jina moja tuu la Andendekisye akiwa
katika Hospital ya Ifisi Mbeya Muda huu
Baadhi
ya Majeruhi walio nusurika katika ajali hiyo wakiwa katika Hospitali ya
Ifisi kuelekea katika matibabu na kutazamwa kama wamepata matatizo
yoyote.
Hawa ni majeruhi kati ya wale 14
Mganga mkuu wa Hospitali ya Ifisi Dkt. Mbilinyi akiongea na moja ya majeruhi mapema leo.
Majeruhi
ambao wamenusurika katika ajali hiyo mbaya wamesema kwamba dereva huyo
alikuwa mwendo kasi tangia walipo fika mikumi, Wameendelea kudai kwamba
walimpa onyo mala kadhaa lakini hakuweza kuwasikiliza na akaongeza
mwendo kasi zaidi mpaka walipo pata ajali hiyo maeneo ya Senjele
kuelekea Tunduma.
Habari kamili itakuja mpaka sasa kuna majeruhi 14 na mtu mmoja amefariki Dunia
Habari kamili itakuja mpaka sasa kuna majeruhi 14 na mtu mmoja amefariki Dunia
na. BEATRICE OTTO
POA SANA, HII NI FUNZO KWA WALE WOTE...
ReplyDeletePOA SANA, HII NI FUNZO KWA WALE WOTE...
ReplyDelete